Fickle Development Technology ni kampuni ya teknolojia inayotoa suluhisho za kidijitali kwa biashara na taasisi. Tunatengeneza website za kisasa, mifumo ya booking, website za travel & tourism, huduma za Bulk SMS pamoja na mifumo ya usimamizi wa microfinance kwa kuhifadhi na kudhibiti taarifa kwa usalama na ufanisi.
Comments (0)
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked *